Gossip, Politics And Love Affairs

Zitto Awashauri Wanahabari Kugomea Kutoa Habari za Serikali


Zitto afunguka haya hapa chini baada ya kauli ya Magufuli leo


Mdau una Maoni Gani?
Tupe Maoni Yako

Post a Comment

Na hizi njaa?
Sijui

Lakini katika watu wataikomboa hii nchi ni wanahabari watakaojitolea kwa dhati. Wabunge. Wanasheria. Police imani nao ilokwisha long time.

Sasa nimeelewa why mkulu huwasifia kuwa police wanawajibika 100% kumbe kwa kuwa hawafati taratibu za kazi yako Bali wanayoamrishwa na mwenye nchi?!!

Vote no the presidaa###

Angry Face .. wewe kumbe ni duji. Makonda anafanya kazi nzuri na ameanzisha vita kubwa haya yote tuliyategemea. na yanatokea.. Endela Makonda. Hapa Kazi Tu. wakwite bashite au shite au bite yote ni yako na ni Poa tu....Hatutetereki na Vita Hii. Hubiri mpaka upasuke watu watakusikia usiku watalala asubuhi siku mpya na kazi endelea.

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget