• Hot Topic

  21 Apr 2017

  AUDIO: Mrema Amtaka James Mbatia Atimize Ahadi, Vinginevyo Atavua Nguo

  Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema  amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.

  Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo. 

  Bonyeza  hapo chini kusikiliza

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa