HII Hapa Droo ya Michuano ya UEFA kwa Ligi ya Mabingwa..!!!


Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo.

Nusu fainali ya pili, itakuwa ni AS Monaco dhidi ya Juventus mechi ya kwanza ikipigwa nchini Ufaransa.

MECHI ZA KWANZA:
Real Madrid Vs Atletico Madrid
AS Monaco Vs Juventus.
Lebo:

Post a Comment

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *