Ifanye Siku Yako Kuwa Njema kwa Kichekesho cha Jamaa Huyu Aliyempa Mimba Mwanafunzi..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanafunzi: Mimba siitoi baby lakini usijali kuhusu kwetu kwani tuna pesa nyingi mpenzi wangu.

Jamaa: Kwani wazazi wako wana kazi gani?

Mwanafunzi: Mama kamanda wa polisi ‘RPC’, kaka hakimu na baba ni mkuu wa gereza. Mjomba jenerali wa jeshi. Shangazi waziri wa wanawake na watoto.

Bibi tu ndiye mambo yake si safi maana ni mchawi sana. 

Jamaa: Kimoyomoyo akasema (mh! jela ileeee na nikiikataa tu narogwa. Je,ungekuwa wewe ungefanyaje?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad