Tuwashushe Wanasiasa - Ben Pol

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa bongo fleva, Ben Pol anayetamba na kibao chake 'Phone' amewatia moyo wasanii wenzake kuacha kuogopa kuachia ngoma mpya katika kipindi hichi ambacho nchini imekumbwa na matukio makubwa ya kisiasa.

Nasaha hiyo imekuja baada ya kelele za wanamuziki wengi kulalama kuwa watu wote sasa hivi wapo 'busy' kufuatilia masuala ya siasa huku wengine wakiipa jina la 'Ubuyu' ambapo wanadai inawapa ugumu kwa kuhofia kupoteza gharama walizozitumia kufanya matayarisho ya nyimbo zao.

“Hatuwezi kufuata upepo wa siasa, inabidi tuwatoe wanasiasa kwenye reli, shusha madude ya hisia mpaka watu wote wahame..”Ameandika Ben Pol kwenye ukurasa wake wa twitter

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad