• Hot Topic

  19 May 2017

  IMEFICHUKAA..Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Aaanika Kila Kitu Kuhusu Kujiuzulu kwa Said Meck Sadiki..!!!


  Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Mashishanga amesema mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyejihuzulu, Saidi Meck Sadiki amesoma upepo na kuona hawezi kuendana na  kasi iliyopo.

  "Hoja ya umri mkubwa haina mashiko sana kwani wapo viongozi wenye umri mkubwa kuliko wake ambao ama waliendelea au wanaendelea kulitumikia taifa," amesema.

  Mashishanga in mmoja wa wanahisa wa Benki ya CRDB anayehudhuria mkutano mkuu wa 22 unaoendelea Jiji Arusha.

  1 comment:

  1. kama kasema ivo uyo jamaa anatafta kiki tu nayeye baada yakuona wakuu wamikoa wawili tu ndio wajulikana, makonda na gambo, nayeye anajitaftia umaarufu kwa said meck sadik

   ReplyDelete


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa