15 May 2017

KIMENUKAA..Zari Aweka Wazi Mahaba Yake kwa Aliyekuwa Mume Wake wa Zamani Ivan..Ameandika Haya Kuthibitisha Hilo..!!!


Mama mjengo, Zari amevunja ukimya na kuamua kuweka wazi hisia zake kwa kuguswa na maradhi yanayomsumbua Mzazi mwenzake ‘Ivan Ssemwanga’ kwa kumuombea apate afya njema kama alivyokuwa zamani.

Zari kupitia ukurasa wake wa SnapChat ameandika “Siku mbili kwangu zimekuwa ngumu, nawaomba tumuombee Ivan”.

“Last 2 days have been hard. Let’s pray for IVAN please!“ameandika Mrembo Zari kwenye ukurasa wake wa Snapchat.

Taarifa kutoka mtandao wa Watch Dog wa Uganda umeripoti kuwa Ivan anasumbuliwa na maradhi ya Shambulio la Moyo (Coronary Artery Disease) .

Zari ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na Diamond Platnumz, amezaa na Tajiri Ivan Ssemwanga watoto watatu wote wa kiume.


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

2 comments:

  1. hayaaa! mambo si mambo, watoto wote wa kiume wa Ivan. ndugu yetu Domo kabakia kumsifia tuu.

    ReplyDelete
  2. millioni 400 za TRA zamkimbiza Zari

    ReplyDelete

Total Pageviews


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger