Lowassa na Lipumba Wakutana Uso kwa Uso Msibani..Lipumba Akimbilia Kumsalimia Harakaharaka..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya kimya kirefu , hatimaye Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amekutana na uso kwa uso na Mwenyekiti wa  Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba.

Wawili hao wamekutana leo, Alhamisi katika msiba wa aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Kitwana Kondo (92) nyumbani kwake Upanga wilayani Ilala.

Wa kwanza kuwasili alikuwa na Profesa Lipumba kisha Lowassa, ambaye alisalimiana na watu waliokuwa karibu yake.

Lakini baada ya swala ya mchana Profesa Lipumba alisalimiana na Lowassa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad