• Hot Topic

  19 May 2017

  Makonda aiponza Star Tv


  Mahojiano Maalumu yaliyoandaliwa na Star Tv waliyopanga kufanya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, yakiponza chombo hiko.

  Jukwaa la wahariri Tanzania TEF limekitafsiri kitendo hicho kuwa ni usaliti.

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa