MANGE Kimambi Ampigia Magoti Rais Magufuli...Amuomba Ampe Ukuu wa Mkoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


By @mangekimambi_ .
Naomba mnisadie kumfikishia ujumbe huu Mh. Rais, Nilikuwa naomba anifikirie kwenye nafasi ya ukuu wa Mkoa huko Moshi, sitomuangusha, nitapiga kazi Bashite nyuma......kwenye mkoa wangu kila mtu atakuwa CCM la sivyo ntamfukuza kwenye Mkoa wangu na atakosa wa kumtetea...Yani wachaga wajipange!!
.
.
Mwambieni Mzee Siasa sio uadui, tusameheane tusahau yaliyopita.....
.
.
.Mwambieni he needs someone like me in his team, I can imagine how strong we are going to be, me him and Bashite! Hakika tutawanyooosha! .
.
.

I know im over qualified for the job since I can do more than read and write, I hold a masters degree! Lakini niko tayari kuchukua kazi ambayo iko beneathe me...
.
.
Naomba mniombee 🙏.
.
JE MANGE ATAWEZA???? .
TOA MAONI YAKO HAPA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ili kumvuta arudi TZ nadhani ni vizuri ampe huo ukuu wa mkoa, akishuka airport tu apokelewe na FFU..........shughuli ianzie hapo hahahahaha yaani kama sinema....

    ReplyDelete

Top Post Ad