google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Paul Makonda " Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV" | UDAKU SPECIAL

Paul Makonda " Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo...

'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake'

'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi'

'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage'

'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili'

'Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani'

'Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng'onjera sio maendeleo ya Dar as salaam'
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bashite anaakili kama lile kubwa jinga Le tumbozz.

    ReplyDelete
  2. LEKUNAKAZZ. MPE SOMO BASHITE KAMA LILE LA ULAYA ULONYIMWA WATOTO MPAKA LEO UNAANGAIKA.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa angetulia tu kama mwanzo haya mambo ya kutafuta KIKI yatamponza, sakata la vyeti hayajamaliza. Akae kimya akafanye shughuli za maendeleo ya wana Dar na taifa kwa ujumla siyo kukurupuka na kuanza kuamsha yaliyolala... Maoni yangu tu

    ReplyDelete
  4. asitufanye vipofu wakati cctv zinainesha akivamia

    ReplyDelete
  5. TUNATAKA VYETI.

    ReplyDelete
  6. Ana tafuta kiki huyo Ameona kumepoa sana

    ReplyDelete
  7. KIKI hizooo Anaona kumepoa sana siasa bila amsha amsha za magazetini na kwenye luninga ndo hivyo mtu anamua kujitoa ufahamu... Vyeti hamna Labda arudi SHULE..

    ReplyDelete

Top Post Ad