16 May 2017

UNAMJUA Vizuri Idd Amin wa Uganda? Soma Mambo Haya 10 Ubaki Mdomo Wazi..!!!


1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961

2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua” Milton Obote mwaka 1971.

3.Aliua watu zaidi ya laki tatu (300,000) kwa kipindi cha miaka 8 aliyokuwepo madarakani kabla ya Kung’olewa na Majeshi ya kitanzania mwaka 1979 baada ya kutaka kuteka sehemu ya Tanzania.

4.Aliwatimua raia wote wenye asili ya Kihindi nchini kwake na kutaifisha mali zao zote.

5.alijipa vyeo kibao na kujiita Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amin Dada!

6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme.

7.Ana watoto zaidi ya 40 huku akiwa ameoa wake 6. Mmoja wa wake zake alikutwa ameuawa kinyama baada ya kupata ujauzito na mtu mwingine.

8.Vyombo kadhaa vya Habari vimekuwa vikimuhusisha na ulaji wa nyama za watu hasa maadui zake aliowaua.

9.Licha ya Ukatili dhidi ya binadamu, Idi amin hajawahi kufikishwa mahakaman mpaka anakufa mwaka 2003 na kuzikwa nchini Saudi Arabia alikokuwa akiishi uhamishoni.

10. Aliwahi kutua Nairobi kwa dharula na akiwa na mahusiano mabaya na nchi ya Kenya,
Ndege yake ilibainika kuwa na hitilafu serikali ya Kenya ilimpatia Ndege ya Polisi ili imfikishe Kampala lakini Alikataa kuhofiwa kutungulia hivyo kupelekea Makamu wa Rais wa kenya kupanda nae mpaka Kampala


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

8 comments:

 1. HAKUNA SIFA HATA MOJA NZURI WEWE UMETUMWA.

  ReplyDelete
 2. zote za uongo

  ReplyDelete
 3. Ndivyo alivyokuwa msilete udini hapa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ulikuwepo au ndio kila unachoambiwa na mabwana zako unakubali?Na waliowauwa WABURUNDI NA WARWANDA MBONA HUSEMI?NGOJA KESHO UTASIKIA MUGABE PIA Alifanya mabaya tu.

   Delete
 4. Ndio raisi wa pekee mwafrika alibebwa na wazungu.kuondoa kiburi cha ukoloni.hilo hukusema unasikitisha wewe.

  ReplyDelete
 5. Aah huyo IDD amin alikua muuaji na shetani. Wacheni kuleta mambo ya udini kutetea upumbavu. Alikua mtu katili sana tena kupitiliza. Acheni kutetea ushetani

  ReplyDelete
  Replies
  1. MASWALI YA JUU HUKUYAONA MBONA HUJIBU?USISEME UDINI MIMI NI BANIANI NILIFUKUZWA NA IDD AMIN LAKINI ZIPO SABABU ZA KUTUFUKUZA

   Delete
 6. Kama mwingine kasema mabaya tumesikiwa kuna ubaya gani nawe kusema mazuri unayoyajua tusikie?

  ReplyDelete


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger