Breaking News: Mtendaji wa Kijiji Auawa Kibiti, Nyumba ya Mwenyekiti Yachomwa Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MAUAJI KIBITI: Ofisa Mtendaji wa Kiijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi, Shamte Rashidi Makawa ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo, Mwenyekiti wa kijiji hicho alichoropoka na nyumba yake ikachomwa moto.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kueleza kuwa Jeshi la Polisi tayari lipo eneo la tukio, hivyo watatoa taarifa rasmi za tukio hilo baadaye.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naona vyombo vya ulinzi vizidi kujikita katika kufuatilia haya mauaji, pia naomba serikali itafute kiini cha tatizo kipo wapi.

    ReplyDelete
  2. Tatizo linakuzwa na wananchi wenyewe hawataki kutoa ushirikiano, wanawafahamu fika wahusika wa mauaji hayo, ila wajue kuwa gharama ya kutotoa ushirikiano haitowaacha salama kwani wanaouawa ni ndugu zao hata kama sio wa damu. Huko kuna historia ya uasi hata wakati wa ukoloni wa Mwingereza ilitokea, walijaribu kuvamia boma la Utete lakini walidhibitiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad