BREAKING: Wananchi Wavamia Tena leo Mgodi wa Acacia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kundi kubwa la wananchi kutoka vijiji vitano vinavyozunguka mgodi wa Acacia North Mara wamevamia mgodi huo.


Taarifa kutoka eneo la tukio hivi sasa zinaeleza kuwa wananchi hao wanaendelea kukusanyika katika lango kuu la mgodi huo maarufu Boom Gate huku jeshi la polisi likijaribu kuwatawanya.


Hilo ni jaribio la pili kwa wananchi hao kutaka kuingia mgodini humo baada ya lile ya jana ambapo polisi walifanikiwa kulizima.


Taarifa zaidi kukujia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani hebu achene kudanganya umma mbona magazeti na watoa habari mnakuwa waongo kiasi hicho au ndo kiki za kuuza magazeti maana katika taarifa hii hapana ukweli hata kidogo hawa wapo siku zote kwaajili ya kuokota mawe kwenye west zinazo tupwa na sii kuingia wala kuziba lango kuu huu uvamizi hauhusiani na vijiji wala maeneo yanayo zunguka mgodi ni watu toka Tanzania nzima alimaarufu kama intruder so kuweni wakweli

    ReplyDelete

Top Post Ad