google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html EBITOKE "Nimemuahidi Ben Pol Kumpa Kitu Chochote Anachokitaka Kutoka Kwangu".....Ben Pol Aajiri Mabaunsa wa Kumlinda | UDAKU SPECIAL

EBITOKE "Nimemuahidi Ben Pol Kumpa Kitu Chochote Anachokitaka Kutoka Kwangu".....Ben Pol Aajiri Mabaunsa wa Kumlinda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache baada ya Ben Pol na mchekeshaji anayekuja kwa kasi Bongo, Ebitoke ku-make headlines baada ya kukutana na kupiga picha zinazowaonesha wakiwa kimahaba, ikiwa ni baada ya mwanadada huyo kulalama kwa siku nyingi kwamba anampenda msanii huyo wa Bongo Fleva, Global  TV Online imemtafuta Ebitoke na kufanya naye mahojiano.
Katika mahojiano hayo, Ebitoke alisema kwamba watu wengi wanadhani kwamba ni kiki lakini kiukweli amefurahi sana kukutana na Ben Pol na kupiga naye picha pamoja na kupata nafasi ya kumueleza hisia zake live.
Ebitoke amesema hawezi kueleza nini kitafuatia kati yake na Ben Pol lakini amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa sababu ni kweli anampenda kwa dhati na yuko tayari kumpa chochote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad