AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na Wikienda, Wolper alisema kuwa, ulipotokea msiba wa Ivan, yeye alikuwa nchini Burundi alikokwenda kwa ajili ya kuchukua mzigo wa dukani kwake hivyo alikuwa bize na hata kama angekuwepo Bongo asingeweza kwenda kwani Zari siyo rafiki yake wa kihivyo.
“Nilikuwa bize na biashara na hata kama isingekuwa hivyo nisingeenda kwa sababu sina ukaribu wa kihivyo na Zari bali siku zile kwenye video iliyosambaa nilikuwa namtetea kwa sababu sipendi mtu aonewe, yaani watu wanamweka mitandaoni amezeeka wakati ukimuona live ni mzuri na mrembo kabisa, sipendi uonevu katika maisha yangu, mimi ni mtetezi wa wanyonge, sema watu hawanijui wananichukuliaga tofauti,” alisema Wolper.
Stori: Gladness Mallya, Dar
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mnafiki com.
ReplyDeleteeti sio mzee mhh ohh i forgot she is just 16 years old husemi kweli ulikuwa au mulikuwa munajipendekeza yule ni mganda the grandma also hakuwapa uso sema ukweli bwana
ReplyDelete