MAANDAMANO ya Wapenzi wa Jinsia Moja Yazuiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mamlaka nchini Uturuki imevunjilia mbali gwaride la wapenzi wa jinsia moja katika mji wa Istanbul, kwa mwaka wa tatu mfululizo.

Polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya watu waliojaribu kushiriki gwaride hilo na kuwakamata baadhi yao.

Mamlaka inasema imechukua hatua hiyo ili kuzima tishio la makundi yanayopinga serikali kutumia gwaride hilo kuzusha vurugu.

Wanaharakati wa kutetea haki ya wapenzi hao wa jinsia moja wamepuuzilia mbali madai hayo na kuongezea kuwa serikali inatumia vigezo hivyo kama sababu ya kuminya uhuru wa watu hao.



Wanamshutumu Rais Recep Tayyip Erdogan anayegemea maadili ya kiislamu kwa kujaribu kuliendesha taifa kwa kutumia mtazamo wake binafsi juu ya masuala fulani katika jamii.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad