NDOA Bila Tendo la Ndoa.....Msaada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.

Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.

Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atakua na tatizo la kiafya au kisaikolojia....Mshauri dada yako akwende Kwa wataalamu afya au Psychology

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kabisa Martine Boniphace.huyo bwana atakuwa amekumbwa na tatizo la KISUKARI(Diabet).bila yy kujijua:NB. mbona hilo ni tatizo dogo mno hapa kwetu Arusha wiki zake tatu atakuwa yuko ngangali na wiki tatu nyingine atapona kabisa kwa uwezo wa mungu hatimae atasahau km alikuwa na tatizo km hilo..piga namba hii 0754598403..KAKA DADAKO ATAFURAHIA NDOA YAKE KM AWALI..na Mungu atambariki dadako kwa kuwa mvumilivu kwa kumuogopa Mungu kutofanya michepuko..

    ReplyDelete

Top Post Ad