Wanafunzi wa Kitanzania Wang'ara Marekani Aliwemo Rashid Jakaya Kikwete

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko Marekani juzi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa wote ni watoto wa watu wenye uwezo. Pia sijawaona wasichana. Ukiwa mkubwa kila kitu rahisi. Tunalia na elimu zetu nchini Tanzania. Hatuthamini elimu kwa watoto wetu. Hizi thamani ya shule kama hizo ndo Tanzania inabidi ziletwe nchini. Na mahospitali pia. Tungekuwa na shule kama hizi kwa wote nchini Taifa lingesonga mbele sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad