• Hot Topic

  16 Jul 2017

  Aliyeimba Nitarejea na Diamond Sasa Amekuwa Teja wa Gongo...

  Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
  Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
  Anaomba asaidiwe: Tazama Video:

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa