Aliyemvamia Mchezaji Wayne Rooney Uwanjani Asamehewa Kwa Amri ya Makamu wa Rais Samia Suluhu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MMOJA wa mashabiki wa Tanzania waliofika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaamamejitoa ufahamu na kumvamia mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney kwa nia ya kumkumbatia wakati wa mchezo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ukiendelea uwanjani hapo.

Baada ya kitendo hicho ambacho amekifanya wakati mpira ukiwa umesimama kwa muda kufuatia mmoja wa wachezaji wa Gor Mahiakuumia na kulala chini, polisi walimvaa shabiki huyo na kumwondoa uwanjani humo mpesempese.
Hata hivyo shabiki huyo ameachiliwa huru kwa amri ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kwenye mchezo huo. (Picha na Musa Mateja na Richard Bukos/GPL)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni msamaha kutoka kwa mchezaji. Haya si makosa ya kupelekwa mtu jera. Ebu fuateni sheria. Inatokea kila nchi. Hakuna anayefungwa kwa hili ila Tanzania. Fuateni sheria za nchi badala ya ubabe au kutafuta sifa. Toeni elimu kwa Polisi wa Tanzania na inabidi wafanye haki na kufuata sheria za nchi. Mbona Mdee hamjamwachia mtetea Watoto wa kike elimu sawa.Elimu na mchezaji ipi inauzito zaidi. Mnanishangaza.

    ReplyDelete

Top Post Ad