Gossip, Politics And Love Affairs

Diamond Platnumz Aweka Wazi Ufreemanson Wake......

Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa zimeshika kasi baada ya kuonekana amevaa cheni za misalaba kwenye moja ya video yake aliyotoa hivi karibuni ya 'ENEKA', Kwamujibu wa wataalamu wa mambo wanadai msalaba pia umo kwenye listi ya alama za Freemason

Tazama picha hapo chini...

Tupe Maoni Yako

Post a Comment

kijana wa kiisalamu vp unavaa hivo sijui ni cross au ndio hizo munaOziita freemanson jamani hebu fata dini yako nini inasema kwanza from A-Z bro unamakosa jirekebishe kwanza hii ya kuzaa bila ndoa na kuishi na mwanamke bila its very bad badilika

Muislam ni haramu kuvaa misalaba, au tujulishe kama umeritadi, maana vitendo vyako vingi si vya kiislamu

Dunia tunapita tu mdogo wangu, kumbuka kuna siku utakuwa nyanda moja tu katika ardhi, jee umejiandaa vipi? naona umejisahau sana ujana unakuhadaa. badilika sasa

ALLAH ATAMUHIDII.PESA ZINAPOTEZA WATU.WANAJISAHAU KUWA MWISHO WA SIKU UTARUDI KWA UDONGO.

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget