• Hot Topic

  16 Jul 2017

  GIGY Money Afanya Balaa Kwenye Studio za Wasafi Classic, Rayvany Alazimishwa Kupewa Papa

  WASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba.
  hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video ikionyesha akienjoy na wasafi, pia video moja ikimuonyesha akimlazimisha rayvany kurekodi nae selfie video huku rayvany akikataa kwa kusema anafamilia.

  Video:

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa