13 Jul 2017

Mange Kimambi Amshauri Jack Wolper Baada ya Mpenzi Wake Mpya Kuaibika na Skendo Chafu ya Ushoga...

By Mangekimambi_ - Leo ntakushauri humu insta Kama navyomshaurigi mdogo wangu Wema......

Huyo Hamo mmeachana muda mrefu na ulikuwa unajua yuko na Huyo Mzungu na uliweza kumove on na Masha yako bila kujidhalikisha hivi na kiboyfriend ila Mara tu habari ilipowafikia wananchi na imekuwa sio siri tena unataka kushindana na huyo mtoto na Mzungu wake... Unajiabisha bwana..
.
.
Huwezi shindana na mwanaume kwenye hayo mambo mwisho wa siku unajiharibia zaidi. Huna Hana Haja ya kuwaonyesha walimwengu na wewe una kiboyfriend. Wana kusaidia nini zaidi ya kukucheka? Huu ni ushauri kutoka kwa mwanamke aliepitia situation ngumu kushinda yako, Mimi nilikuwa nimeolewa kabisa na watoto juu then Mara mwanaume kalipuka na mapicha ya mapenzi kwenye insta tena anawapa adui zangu warushe. Zile picha zilikuwa kila konaaaaaa insta, nilichekwa, nilibezwa ila sikudhubutu kufanya ujinga ili nishindane na Mzungu. Nilijiheshimu. Yawezekana hata nilikuwa nna stress na labda niligawa K kwa wanaume ambao hawakuni deseve Ila hakuna atakaejua na hakuna wa kuja kumuonyesha picha my hubby to be za Mimi nikiwa nalambana na kiserengeti boy kipindi kile...Yani kama nilifanya ujinga itakuwa siri yangu mimi ntakufa Nayo. .
.
Kwanini uruhusu mwanaume akuharibie future yako ya kupata mwanaume wa maana wa kukuoa? Seriously Wolper ni mwanaume gani mwenye Maisha yake mazuri atataka kukuoa kwa upupu huu? Juzi tu mapicha ya kulambana na Hamo Leo mapicha ya kitandani na hiko ki-useless kingine. Why??hufikiriiii future yako? Hujaolewa huna mtoto why unajiharibia chances zozote za kupata mwanaume wa maana?? Kwani huwezi kutiwa kimya kimya???Hivi ni mpaka Watu wajue na wewe unatiwa ?? Kha!! .

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

3 comments:

 1. MESSAGE SEND!!! MWENYE MASIKIO NA ASIKIE

  ReplyDelete
 2. Nimefurahi ulipotoa mfano wa experience yako. Maana kwa kweli wengi walikuonya kuwa yr love for social media na exposing yr private life itakuja kukucost. Sijui sababu ya ndoa yako kuvunjika lakini naweza kusema bila kusita kuwa tabia hiyo hapo juu mpaka kutishia usalama wako na familia yako ndio sababu kuu. Pia majisifu na miradi isiyodumu.

  Hata wewe ukiendelea utapata shida kupata mume wa maana na mpaka sasa unahatarisha maisha yako kwa kujijengea maadui kila upande.

  Wewe unaona madhaifu ya wenzio na kuwapa mawaidha mazuri sana na wewe ujifunze kusikia mawaidha.

  ReplyDelete
 3. Kweli kabisa anonymous 18:23. Wakati ule Mange alikuwa anajiita muke ya muzungu. Alitambajee hasa baada ya kumzaa Kenzo akaamua kukificha kile chungu chake cha kafara (Bokke). Akaona aingie kwenye siasa yeye na keki ya Taifa( Wema). Ona mambo yanavyowaendea ndivyo sivyo. Keki ya Taifa kaamua kuingia bongo fleva hahhahhah. Tuwe wakweli. Kwenye harusi ya professor Jay hakualikwa kwasababu pale walikuja watu na heshima zao wakiongozana na wake na waume zao. SasA keki ya Taifa angekuja na nani? Calisa? Idris? TID? Mbavu zanguu....

  ReplyDelete


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger