Kimenuka Tayari Dimond Atupa Dongo kwa Mobetto Basi Hali si Hali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Kimenuka Tayari Dimond Atupa Dongo kwa Mobetto Basi Hali si Hali
Rais wa WCB, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametema cheche za mwaka mtandaoni huku moja kwa moja wadau wa mambo wakilihusisha tukio hilo na kitendo cha mwanamitindo, Hamisa Mobetto ambaye amejifungua mtoto wa kiume Agusti 8 mwaka huu na kumpachika jina la Naseeb Abdul.

Diamond alimtumia Mobetto katika video ya wimbo wake, Salome uliotoka mwezi Disemba mwaka huu.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Eneka, ameonyesha kuchukizwa na baadhi ya mambo yanayoendelea.

“BITCH IS DYING FOR FAME,” alitweet Diamond.

Wadau wa mambo wanadai kauli hiyo imekuja baada ya Mobetto kumpatia mtoto wake jina Naseeb Abdul hali ambayo imewafanya watu wengi watambue kwamba mtoto huyo aliyejifungua hivi karibuni ni wa Diamond ambaye kwa sasa ni baba wa watoto wawili aliyozaa na Zari The Bosslady.


Diamond hajawahi kutoa kauli yoyote kuhusiana na tukio hilo licha ya mama yake pamoja na dada yake Asma kuonekana mara kadhaa katika hospitali aliyojifungua mwanamitindo huyo.

Mashabiki katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni tofauti juu ya Diamond Platnumz huku wengi wakimshauri muimbaji huyo kumkubali mtoto kwa madai Mobetto ni mtu mzima na anatambua kile anachokifanya.

Kwa upande wa Mobetto huyo ni mtoto wake wa pili ambapo wa kwanza alizaa na Mkurugenzi wa EFM, Majay.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kashalishwa Limbwata na kizee chake.yuko radhi alee watoto wa Ivan kuliko wa kwake AbdullNasseb.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado unawaza limbwata dunia ya leo.

      Delete
    2. usiwe mvivu wa kufikiri, zungumzia mambo yako achana na Dai

      Delete
  2. na wewe achana kujipendekeza kwa Dai, hafiri siku hizi. Anony 16.28

    ReplyDelete
    Replies
    1. DUU WABONGO BANA HATARI !!! SIKU MKIJUA MTOTO WA NANI SIJUI MTAWEKA WAPI SURA ZENU!!!

      Delete
  3. PIMA DNA Ndio uamuzi tu.wacheni bla bla

    ReplyDelete

Top Post Ad