Mobetto Amaliza Utata Athibitisha Kuzaa na Diamondi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Mobetto Amaliza Utata Athibitisha Kuzaa na Diamondi
Mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobetto Jumatatu hii ametimiza siku saba toka azaliwe Agosti 8 mwaka huu ambapo amepewa jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.


Awali mrembo huyo alifungua akaunti ya Instagram kwa jina ‘Tanzania Baby’ lakini Jumanne hii alibadilisha jina na kuandika ‘Abdul Naseeb’ ambapo kwa sasa akaunti hiyo tayari ina wafuasi zaidi 50,000.

Mobetto kupitia Instagram alipost picha yake ya wakati ni ujauzito huku akii-tag akaunti ya mtoto wake huyo na kuandika “Goodnight 😘 .Thank U for this outfit love @fifi_sugardesign . Love U baby dee @abdulnaseeb_tz,”


Wiki iliyopita kupitia kipindi cha Shalawadu cha Clouds TV, mama Diamond pamoja na dada yake Diamond, Esma walionekana katika nyakati tofauti wakiwa katika hospitali moja ambayo alijifungilia mrembo huyo.

Diamond ambaye jina lake halisi ni Naseeb Abdul, hajatoa kauli yoyote juu ya mtoto huyo licha tetesi hizo kuonyesha zinaukweli ndani yake.

Kwa sasa muimbaji huyo ambaye ni rais wa WCB, ni baba wa watoto wawili aliozaa na Zari The Bosslady.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bi kizee ataandika mafumbo leo. Levo Levo zitakuwa nyingiii.

    ReplyDelete
  2. Zari uso umemshuka kama Mbuzi wa hitma. alijiona yeye ndo mwenye kizazi peke yake na kuwatukana watz. sasa Karma imemrudia.

    ReplyDelete
  3. hivi yule shoga yake Zari Sinta pua kubwa aliishiya wapi? mwanzoni alikuwa anamsifia sana na kumrusha roho Wema siku hizi simsikii hata kumpa salamu ajuza wake. ila Hamisa kiboko huwa hasemi ni action tuu.

    ReplyDelete
  4. Zari. Achabe naye tu huyo michosho. Mwanamume lichupi mkononi. Tena asithubutu kubeba mimba nyingine eti kwa kufuraisha lichupi mkononi.Kama ni watoto anao wa kutosha watano, amuache angaike na lichupi mkononi lake, la kuzaa kila watoto na mama zao na bila ndoa

    ReplyDelete
  5. Dai bado kijana na anapesa atazaa kadri atakavyo. huyo Zari umri umeshampita watoto 5. na wakwanza miaka sawa na Dai. unafikiria nn hasa kwani kamuoa? si mchepuko kama wengine.

    ReplyDelete
  6. Huyo mabetto alipomaliza utata kuhusu babawamtoto wake ni wapi kwani kumwita mtoto Abdul naseeb ndio kamaliza utata

    ReplyDelete
  7. ili li hamis nalenyewe njaa tuu inamsumbua unamlazimisha mtu mimba kwani lazima pambana na hali yako nyoko weweee ndio ulidanganyana na mama yako ujilengeshe kwa daimond sasa utalea mtoto wewe na mama yako upati ata kumi ya diamond nyoko wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad