Pemba Yaongoza Utafiti wa Wasichana Wanaobaki na BIKIRA Kwenye Umri wa Miaka 25, Dar Yashika Mkia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utafiti wa Mabikira kati wa Vigor wa Umri Chini ya Miaka 25 Wasioolewa Bado ........

Utafiti kila mkoa juu ya watoto wa kike wanaojitunza. Utafiti huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira(Virginity percentage at 25 years old).

Kati ya watu mia moja wafuatao wametimiza umri wa 25 wengine hadi kuolewa, wakiwa bikira,

Njia ya utafiti
Kila mkoa wamekuwepo sample spaces 500, yaan wanawake 250, na wanaume 250(lengo la wanaume ni kuwauliza walipooa waliwakutaje, ilikuwa siri). Pia na kuwauliza wanawake, kwa njia ya kiungwana.

Takwimu ni kama hivyo, Pemba ndio yenye wasichana wengi wanaofika umri wa 25 wakiwa Na bikira Na Dar es Salaam ndio yenye wasichana wachache wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa Na bikira.

1. Pemba 45%
2. Unguja 43%
3. Manyara 27%
4. Mara 26%
5. Tabora 22%
6. Dodoma 20%
7. Geita 19%
8. Shinyanga 16%
9. Kigoma 15.7%
10. Simiyu 15.5%
11. Morogoro 15
12. Kilimanjaro 14%
13. Rukwa 14%
14. Ruvuma 13.7%
15. Mbeya 13.5%
16. Iringa 13.2%
17. Kagera 13%
18. Katavi 12%
19. Mtwara. 11.6%
20. Pwani 11%
21. Njombe 9%
22. Tanga 8.5%
23. Arusha 8.3%
24.Lindi 8%
25. Singida 7%
26. Mwanza 5%
27. Dar es salaam 3%

Ijulikane kwamba huu utafiti utasaidia wazazi kuwaaasa watoto wao kutojihusisha Na mapenzi wakiwa wadogo, pili kuwaepusha na mazingira yanayoweza kuhatarisha usichana wao.

Pia watoto wa kike wajue kuwa si vyema kupenda chips mayai, lift na kupenda alama za juu darasani wakati hawasomi, hayo yanapelekea kuwaondolea usichana wao na kuolewa wakiwa thamani yao imeshuka.

Pili watoto wa kike wanapoteza sana usichana wao wakiwa mashuleni, vyuoni wengine mpaka makanisani.

Pengine watoto wanaruhusiwa kupanga nyumba wakiwa wadogo sana.

Kauli mbiu:
Tokomeza ukatili dhidi ya mtoto wa kike, linda Usichana wake, Mtunze Na mlinde mdogo wako wa kike Na jirani yako wa kike dhidi ya wahuni.

Mungu Ni Mwema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ndio habari njema zaidi na sifa nzuri tuliopewa WAPEMBA.asante sana mhariri

    ReplyDelete
  2. Mngekuja kanisani kwetu mngekuta 80%

    ReplyDelete
  3. Sawa walikuwa bado na bikra zao mbele na nyuma je marinda yalikuwa bado hayajatatuliwa na wajanja?Maana Pemba hiyo wenyewe huwa wanaimba"NAMPENDA BATA KWA KUNYA KUNYA"

    ReplyDelete
    Replies
    1. MCHEZO HUO MNAO NYINYI HUKO BARA.HUWAONI WACHINA WALIVYOWAANDAA.HUJUI TIGO HUJUI VODA

      Delete

Top Post Ad