Tayari Kimenuka Ali Kiba Aamua Kujibu Mashambulizi Kwa Kutupa Dongo Hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tayari Kimenuka Ali Kiba Aamua Kujibu Mashambulizi Kwa Kutupa Dongo Hili
Kupitia ukurasa wa Twitter wa mwimbaji wa Bongofleva Alikiba uliandika maneno 12 ikiwa ni ujumbe kwa mtu ambaye anaonesha kumchukia kwa asilimia huku akionesha kutojali.

Alikiba aliandika>>>”I know that you hate me 100% but I give ZERO F**ks  #KingKiba”


Alikiba amefanya hivi siku moja baada ya hasimu wake katika muziki wa bongo kusikika katika moja ya wimbo ambao mashabiki wanahusisha baadhi ya mistari ya msanii huyo kwenda kwa Alikiba, ndipo hapo inasemekana Alikiba ameamua kujibu kwa kusema mfalme abakaki kuwa mfalme siku zote huku ikidaiwa akimfananisha hasimu wake huyo na malkia wake.

>>>”Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu siyo kesi, kunikompea na Sinderela haiwezi kuwa fresh. Simba toka Mbuga ya Tandale naona Swala wana force tuwe salesale, viuno vidogo wanataka pensi ya pepekale si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. big up king wenye wivu wajinyonge kama kweli wakanywe sumu King will always be king no matter what mukajipange

    ReplyDelete
  2. Huna uking wala uqueen ww boya tu nani akuonee wivu wakati kazi yako kupana pua watu wanapiga hela kwisha zama zako tafuta jembe ukalime

    ReplyDelete
  3. msenge tuu huyuu ana uking zaidi ya kupigwa pumbu tuu na vipensi vyake

    ReplyDelete

Top Post Ad