VIDEO: Zari Avalishwa Pete ya Uchumba na Diamond?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIDEO: Zari Avalishwa Pete ya Uchumba  na Diamond?
Ni video iliyotengeneza Gumzo kuwa Zari The Boss Lady anavalishwa Pete ya uchumba wiki hii na msanii mkubwa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anaandamwa na skendo kubwa ya kuzaa na model maarufu Tanzania Hamisa Mobetto.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyimbo hiyo. hakuna uchumba wala ndoa. Domo anataka aongelewe ili amzime Kiba,

    ReplyDelete
  2. anatafuta kiki kwanguvu. seduce Me. imemvuruga. kalee mwanao huwezi kumuoa bi kizee.

    ReplyDelete
  3. hee hee munachekesha omeona eeh umeshindwa seduce imewarusha roho masikini wee la kufanya hamna muna tafuta kiki kwa njia hii or another lakini hampati na huyo bi kizee kweli mbumbavu ndio nini sasa hata uvalishwe pete vidole vya miguuni keep it your ajuza hamisa mobeto kazaa Abdul Naseeb upo kama alikuwa anakuthamini kweli angeza na hamisa huyo mkataa watt mungu anamuona na hubarikiwi kukata damu yako uuwi

    ReplyDelete
  4. jamani ajuza unauzwa kimacho macho eti unavishwa pete mhh una chekesha watu bwana hlafu unapaka piko mguu utazania mguu wa tembo ulio kosa shepu ovyo seduce me imewavuruga sana na hamisa mo eto anavishwa pete siku ukisafiri lini vile

    ReplyDelete
  5. yaangalie tuu Hamisa. hakuna jipya tushamzoea Domo hawezi kuishi bila kiki. hakutegemea kama SeduceMe itamuacha na maumivu makali sana. kaamua kumleta bi masumbuko amfichie aibu yake. wcb aibu yenu. badilishine mganga.

    ReplyDelete
  6. jamani yule Salaam kaishia wapi? si alikuwa anatamba utafikiri ndo demu wa Dai.sasa bi kizee kaja kuwapoza.walijioa wako juu laana inaanza kuwala bila kujijua.

    ReplyDelete

Top Post Ad