Hiki ndicho alichopost Zari Baada ya Picha Za Hamisa na Diamond kuvuja.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. so wat... kashaonyeshwa ukweli alokuwa anaukataa, atuliee tu na maumivu anayo. Karma imemgeukia.

    ReplyDelete

Top Post Ad