Mr Blue Afunguka Jinsi Ndoa Yake Ilivyombadilisha Kuwa Kijana Mwema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mr Blue Afunguka Ndoa Ilivyombadirisha
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Mr Blue amefunguka na kusema toka ameoa mke na kuwa na familia imemsaidia sana kubadili maisha yake na kumfanya aachane na mambo ya kijinga ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuoa.

Mr Blue alifunguka hayo kupitia kipindi cha Planet bongo cha EATV wakati akiongea na mtangazaji wa kipindi hicho Dullah na kusema kuwa ndoa imemfanya kuwa kijana mwema mwenye kutambua majukumu ya ndoa na kulea familia yake na kuachana na mambo mengine ya hovyo hovyo ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuoa.

Msanii huyo aliendelea kueleza kuwa wakati yupo kwenye uchumba na mkewe huyo bado alikuwa na mabinti wengine kadhaa ambao alikuwa anatoka nao kimapenzi lakini ilifika hatua aliamua kuoa na kutulia na mkewe wa ndoa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad