Nisha Ampiga Marufuku Mpenzi Wake Kufika Nyumbani Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nisha Ampiga Marufuku Mpenzi Wake Kufika Nyumbani Kwake
STAA wa fi lamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa, hana kawaida ya kuruhusu mpenzi wake kufi ka nyumbani kwake kwa vile anahofi a kumfundisha maadili mabaya mtoto wake ambaye hivi sasa ameshakua mkubwa.

Akizumza na Za Motomoto News, Nisha alisema kuwa, kubadilika kwa dunia ya sasa, kumesababisha watu kutoaminika hivyo tahadhari ya hali ya juu inapaswa kuchukuliwa kuhusu wapenzi wake kufi ka kwake hasa mwanaye Iptysam anapokuwepo.

“Kama ni boyfriend huwa tunakutana sehemu nyingine, lakini siyo nyumbani kwangu mwanangu akiwepo, maana sitaki akue katika maadili mabaya,” alisema Nisha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad