google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html TANZIA: Miili ya Watu 13 wa Familia Moja Yawasili na Kuagwa Leo | UDAKU SPECIAL

TANZIA: Miili ya Watu 13 wa Familia Moja Yawasili na Kuagwa Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TANZIA: Miili ya Watu 13 wa Familia Moja Yawali na Kuagwa Leo
Watu 13 wa familia moja waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea Uganda baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutoka kwenye sherehe ya harusi kugongana na lori imefikishwa Tanzania na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Miili hiyo imepokelewa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania na itapelekwa moja kwa moja katika Hospitali ya Lugalo na kesho September 20, 2017 itaagwa.

Watu hao walipata ajali September 17, 2017 majira ya saa 4:00 Usiku katika barabara ya Masaka, Uganda wakiwa njiani kurejea Tanzania wakiwa ni kutoka katika familia ya Naibu Waziri na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mpwapwa, Dodoma, Gregory Teu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad