Zari Amjia Juu Diamond Amtaka Asimuhusishe Kwenye Mambo Yake na Apambane na Mtatatizo Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Amjia Juu Diamond Amtaka Asimuhusishe na Apambane na Mtatatizo Yake
Drama za sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe.

Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema ameshazungumza na mpenzi wake huyo kuhusiana na mtoto aliyezaa na Hamisa na kwamba ameelewa na hakuna tatizo tena.

Wakati Diamond akiendelea na mahojiano katika kituo cha Clouds FM, Zari aliandika katika mtandao huo akisema: “Hahahaha unajidanganya, unasema uongo kuhusu mimi kujua kuhusu michepuko yako, malizana na balaa ulilolianzisha. Mimi kunyamaza haimaanishi ni mpumbavu. Kuwa makini na maneno yako.”

 Aliendelea kuandika: “Inawezekana mimi ni mama wa watoto wako ndio maana nimeamua kunyamaza kimya. Labda ugoogle kuhusu ‘defamation of character law suit’, usinijaribu.”

Diamond alipoulizwa kuhusu kauli hizo amesema anamwelewa kwa kuwa kuna baadhi ya mambo hakumweleza na kwa mara ya kwanza huenda ameyasikia wakati huo.






-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata mini ningekuwa Zari Aina mpango nae tena mwanaume Chupi mkononi, ni ujinga tu kuwa na mwanaume lichupi mkononi

    ReplyDelete
  2. huwezi kumhukumu au kumpangia mwanaume kwani wewe ulipmpata si alikuwa na mahusiano na mwingine ukamchukua na mapicha mukapiga umesahau sasa la ajabu lipi daimond kuzaa na hamisa? au wewe umemnunua wewe ulimnyakua na yeye kanyakua its a fair game wacha uchimvi unatafuta sympathy

    ReplyDelete
  3. wacha kelele zako bi kizee wewe unajitia aibu mama wa 5 take care of ur kids than kugombania hawara kafe mbele tumechoka kilabkukicha unajipya aliechoka huwa hakai kila kukicha ana postb jipya swali mmoja kwani dai ni mume wako hebu ona hay kidogo

    ReplyDelete

Top Post Ad