China Yajipanga Kupambana na Vita ya Rushwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

China Yajipanga Kupambana na Vita ya Rushwa
Moja ya mikakati ambayo Chama cha Kikomunisti China (CPC) imeipa kipaumbele ni vita dhidi ya rushwa, na katika mkutano wake mkuu unaoendelea jijini hapa, kimetangaza kufuatilia uozo huo katika milango ya watu.

Naibu Katibu wa Tume Kuu ya CPC ya Nidhamu na Ukaguzi, Yang Xiaodu akizungumza na waandishi wa habari amesema chama hicho kitaendelea kupambana na rushwa kwa nguvu zote na hakitamvumilia yeyote atakayebainika kushiriki katika rushwa.

Amesema leo Alhamisi Oktoba 19,2017 kuwa licha ya kufuatilia vitendo vya rushwa katika kona mbalimbali ikiwemo majumbani, wataendelea kuwafuatilia waliokimbilia ng’ambo na kutwaa mali walizochuma isivyo halali.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad