Hamisa Mobetto Achukizwa na Ujumbe wa Idriss ,Auchukulia Kama Kejeli /Dharau.... Ujumbe Huo Umesomeka hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hamisa Mobetto Achukizwa na Ujumbe wa Idriss ,auchukulia Kama kejeli /dharau.... Ujumbe Huo Umesomeka hivi :
.
By Idriss Sultan - Dear Diamond nimekaa nikawaza sanaaaaa ila nimemaliza na jibu nimepata, kama kaka au mshkaji wako nimeona kuna vituo vingi sana vya watoto wasio na uwezo wa kujisomesha na hata chakula hakitoshi, nimeona kuna vijana wengi hawana ajira, nimeona kuna wengi hawajui wataamkaje kesho. Kwa sasa wewe unaweza kuwasaidia sanaaaa. Utakua unajiuliza hii 500 ya nini ila nimegundua nikikupa hii 500 ntakua nimeokoa maisha ya watu wengi sana. HII 500 NUNUA CONDOM ILI HIZO ELF 70 TUWE TUNATOA MISAADA NA RAV 4 ZITAPELEKA MCHELE ORPHANAGE.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa sawa. Idrisa huyu Mondi asipoangalia atakuwa womanizer na atazaa dunia nzima watoto kila kona hapo Tanzania na mwishowe wengine wasijuane na wakaishia kuoana ndugu kwa ajili ya kuwendekeza uzinzi. kama anaona ameshidwa kujizuia kwa kuendekeza uzinzi atumie Condom, au asipotumia condom kipo anachokitafuta kwa uzinzi huo puuuu janaume zima lichupi mkononi kwa karne hiiii. Hayo ya richupi mkononi yalishapitwa na wakati kwa hii karne

    ReplyDelete
  2. KULA TANO IDRIS!!!UJUMBE UMEFIKA!!!

    ReplyDelete
  3. Sio atakuwa womanizer, ni womanizer tayari, kuna siku alisema anaamua kuwala!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad