Mbunge CHADEMA Ataka Vyama Vingi Vifutwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge CHADEMA Ataka Vyama Vingi Vifutwe
Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia CHADEMA John Heche, ameitaka serikali kufuta mfumo wa vyama vingi na kubakia na chama kimoja, kama wanaona uwepo wa vyama vya upinzani ni uhaini.

Akizungumza na moja ya Televisioni hapa nchini, John Heche amesema wamekuwa wakipokea vitisho vikali juu ya kufanya siasa na kukososa utendaji wa serikali, kitu ambacho ni wajibu wao kama vyama vya upinzani bungeni, hivyo kama wanaona wanafanya kosa basi ni heri wafute vyama hivyo.

John Heche ameendelea kusema kwamba kukosoa serikali sio uhaini bali ni kufanya kazi kadri ya sheria za nchi zinavyotaka, lakini kwa hali ya sasa hivi ilivyo imekuwa inaonekana kinyume, na kuhatarisha usalama wao na familia yao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nani afute? mnaweza mkakifuta chama chenu wenyewe, kwani mlilazimishwa kujisajili, pambaneni na hali zenu, msimtafute mchawi

    ReplyDelete

Top Post Ad