Nyarandu Ajitoa Mhanga Akusudia Kuwasilisha Mswada wa Sharti la Kurejea Katiba Mpya Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyarandu Ajitoa Mhanga Akusudia Kuwasilisha Mswada wa Sharti la Kurejea Katiba Mpya Bungeni
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amesema anakusudia kuwasilisha hoja mswada binafsi kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai utakaoweka sharti la kurejea upya mjadala wa Katiba mpya.

Nyalandu  ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne , ameeleza hayo katika akaunti zake mitandao ya kijamii ya Instagram, Twitter na Facebook huku akisema mswada huo atauwasilisha kwenye kikao kijacho cha Bunge.

Katika akaunti hizo Nyalandu ameandika: “Nakusudia kuwasilisha kwa Spika wa Bunge , Mheshimiwa  Job Ndugai, azma yangu ya kuleta muswada  binafsi wa sheria  katika kikao kijacho cha Bunge  itakayoweka sharti la kurejea upya  mjadala wa Katiba Mpya ya Tanzania, kwa kuzingatia Rasimu ya Katiba ilivyowasilishwa na Tume ya Jaji Warioba,” .
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad