Pcha:Yaliyojiri Usiku wa Private Party ya Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pcha:Yaliyojiri Usiku wa Private Party ya Diamond
Usiku wa kumkia leo ndiyo kilele cha kuhitimisha siku nne za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ambapo private party  imefanyika katika hotel ya Hyatt Rency na kuhudhuriwa na mastaa kadhaa pamoja na watu wake wa karibu.



Kabla ya sherehe hiyo Diamond ametoa msaada wenye thamani ya shilingi  milioni nne katika hospitali ya Amani iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo ndiyo alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.
Manager wa Diamond(kulia) Sallam akifurahia jambo na Diamond kwenye birthday dinner party
Diamond akiwa na mlinzi wake
Diamond akiwa na wageni waalikwa






-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona hamsemi kama kizee chake hakijaja?

    ReplyDelete
  2. masikini ajuza umepitwa na mengi anywat hawakuhitaji hivo by the its much better vile hukuwepi tume enjoy sana na tumefurahi sana. Hamisa mobeto yupo so ukiwepo au la haijalishi vaa suit na miwigi ji chibue na lisptic nyekundu unapotezewa tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad