Alichoandika Wema Sepetu Baada ya Lulu Kuhukumiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wema Sepetu - Dah... Speechless... 😔😔😔 Pole my baby... This too shall pass... 😔😔😔 Dah...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtihani mamy utavuka pole sana

    ReplyDelete
  2. Lulu kaigiza toka akiwa mdogo. Lulu ni binti aliyeingiliwa akiwa mtoto na mwanaume mtu mzima. Ilibidi lulu alindwe na kutetewa kama binti mdogo na mahakama. Nashangaa mahakama kumweka innocent gerezani na wanaime wakubwa wanaowapa mimba watoto kuwaacha bure. Lulu kama mtoto wakati ule alichokifanya ni kjikinga adidhurike na mtu aliyekuwa amelewa, anasilaha. Leo mnanfunga na alishatumikia kifungo kabla. Hivi hizi sheria za vipi.Tanzania yetu shida. Majizi wapo huru, ni hao wanaitawala serikali, iko hata ya nchi kusnza na kila kitu kipya na kutoa wote wenye mazoea ya kawaida ya utawala na kupisha damu mpya. Nanyi vijana, muungane na mditumike tena katika uchaguzi kama mlivyofanya mwanzo. Wakati umefika mjijue mnahitaji maendeleo ya kwenu mkipewa uhuru, ajira, elimu. Najua wengi mnajituma. Kinachowsumiza hamuujui uwezo wenu wa kutaka maendeleo bora na ya kwenu. Mdimame wima mumtetee mwrnzenu kwa nyimbo na tsmasha kumuunga mkono.umoja ni nguvu.

    ReplyDelete

Top Post Ad