Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bilionea wa Nyumba za Lugumi Afunguka Kuvutiwa na Wema Sepetu
BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Dkt Louis Shika amemfungukia ‘Tanzania Sweetheart’, Wema Issac Sepetu kuwa ni staa ambaye anamkubali ukiachana na huyo kwa upande wa muziki Ray C ni mmoja wa mwanadada ambaye anamkubali kupitia nyimbo yake ya nataka niwe na wewe milele.
Bilionea huyo ambaye amekuwa staa kwa muda mfupi kwa umaarufu wa Jina la 900 Itapendeza baada ya mnada wa nyumba za Lugumi bilionea akatambulika kwa jina hilo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dr.hali ya maji ya baharini na ya ziwani kasi zake ni tofauti yaani baharini maji hayatulii mara nyingi ni hali ya mawimbi mawimbi na ziwani maji yake au mawimbi yake siyo makali kama yale ya baharini nikiwa na maana ya kuwa huyo binti damu bado inacharuka mwilini mwake mindhari ya mawimbi ya baharini na ya kwako Dr.imeishatulia kama hali ya maji ya ziwani yaani sidhani kama mtaendana hata kama ikiwa kwa mfano na yeye akaja akasema yes nataka/napenda niwe na wewe Dr.kimapenzi lakini tunaishi kwenye dunia huru kila mtu huwa huru kuwa au kuota na ndoto zake

    ReplyDelete

Top Post Ad