Dogo Aslay Hizi Sasa Sifa Zimezidi Kipimo..Umetuzalilisha Wanawake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za dogo aslay ukweli ni kwamba dogo anajitahidi ila kilonifanya niandike hii thread kuna wimbo wa Aslay umetoka sijui kautoa mwenyewe au umevuja au vipi maana wimbo wenyewe una verse moja tu lakini mashairi ya wimbo huo hayajawafurahisha wanawake wengi ikiwemo Mimi.

Ni wimbo ambao unamdhalilisha mwanamke huyu dogo anapaswa atambue kwamba mashabiki wa mziki wake wengi ni wanawake hata kama umeachana na mwanamke huwezi kumtolea matusi kama ya kwenye wimbo wa aslay so aslay kama umo humu Jf acha kudhalilisha wanawake ambao ndo mashabiki zako wakubwa including Ray 4 real.

Baadhi ya mashairi katika huo wimbo;

Kiuno kizito kama engine ya fuso ,
Hauna lolote kitandani yaani upopo,
Unashindwa hata kufua vichupi vyako,
Unanuka jasho makwapani kama choo cha soko..

Hayo ni baadhi ya mashairi kwa kweli hayajatufurahisha wanawake na ni udhalilishaji

So aslay  metudisappoint 90% ya wanawake Tz.
Yangu ni hayo sema nimeshindwa kuapload hiyo audio.

 VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kaoge then ndo uiskilize hii nyimbo halaf uone kama itakugusa tena

    ReplyDelete
  2. Mbona ukweli mwanamke usafi na kujituma kwenye mapenzi siyo mtu anakua kama kifaru cha vita.

    ReplyDelete
  3. UKWELI UNAUMA JAMANI, MBONA WALE WALOAMBIWA WANA VIBAMIA HAWAKUNUNA

    ReplyDelete
  4. https://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber

    ReplyDelete
  5. https://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber
    View Raila's reaction

    ReplyDelete
  6. https://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber

    ReplyDelete
  7. https://www.youtube.com/channel/UCEqoaHvUdR74IlgA66nNo9A?view_as=subscriber

    ReplyDelete

Top Post Ad