Dully Syskes Afunguka Kuhusu Ulithi Alioachiwa na Babaake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dully Syskes Afunguka Kuhusu Ulithi Alioachiwa na Babaake
Msanii Dully Sykes ambaye hapo jana ameachia wimbo wake mpya wa 'Bombadier', amesema marehemu baba yake amemuachia urithi mkubwa ambao ni muhimu sana maishani mwake.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema anajivunia kitendo cha baba yake kumuachia urithi wa 'nguvu', kwani ameweza kuwa na watoto wengi.
"Kitu ambacho mzee ameniachia na najivunia ni kuwa na nguvu za kuwa na watoto wenGi, tayari nina watoto wengi na bado wengine watakuja”, amesema Dully Sykes.
Baba Mzazi wa Dully Sykes ,ambaye pia alikuwa msanii na kipenzi cha watu, Mzee Abby Sykes alifariki dunia Februari 15, 2015, baada ya kuugua muda mrefu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad