Diamond Ampa DJ Wake Romy Jones Nyumba ya Milioni 100 Kama Zawadi ya Harusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari Wadau..

Naona Rais wa WCB mambo ya vyuma vimekaza yeye hayamuhusu.. Maana hela anachukua kwa wateja wake waliopo dunia nzima...

Juzi Kamzawadia DJ wake wa Muda Mrefu Romy Jones Nyumba ya Milion 100

Mama Diamond nae kujibu mapigo kamzawadia Romy Jones kiwanja cha thamani ya milioni 80...

A boy from Tandale... Anawapenda sana wafanyakazi wake

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIZI HELA ZATOLEWA KWELI? AU NI MBWEMBWE TU?
    LAKI TANO ZA MTOTO WAKE KILA MWEZI ANALALAMIKA.

    ReplyDelete
  2. Hivi kumbe ni Diamond tu anayekula mapesa yote ya show za dola elfu 50 kwa shoo huku wafanyakazi wake wote wakiwa hoi. Jana nimesoma kuwa Aunty na Iyobo wanakaa nyumba ya kupanga, kumbe hata Jons naye alikuwa akipanga huku Diamond mwenyewe akimiliki majumba zaidi ya 20 aliyonunua hivi karibuni tu pamoja na lile la kifahari la SA mabyo yote yametokana na muziki anaofanya kwa pamoja wafanya kazi wake hawa?

    ReplyDelete

Top Post Ad