Godbless Lema Afichua Wanachohongwa Wabunge wa CHADEMA Ili Wahamie CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema amefunguka na kusema ahadi ambazo baadhi ya viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipewa jambo linalopelekea kujiuzulu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Lema amesema hayo jana Disemba 14, 2017 mara tu baada ya Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollel kutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na uanachama wa CHADEMA kuanzia jana  na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

"Nitakupa mshahara wako wote kwa miaka iliyobaki, pia nitakulipia madeni yako yote, nitakupa kiinua mgongo chako chote nitakupa na mlinzi kwa kipindi hiki na ukitaka tena kugombea nitakupa kipaumbele wewe au kazi nyingine utakayotaka? Je, utakuwa tayari? Si utakuwa tiyari wajameni?" aliandika Lema kwenye mtandao wake wa Twitter
Baadhi ya vyama vya upinzani nchini vimekuwa vikikumbana na changamoto ya baadhi ya viongozi wao au wananchama kujivua uanachama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile wanachodai wanaunga mkono juhudi na utendaji kazi wa Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wanaohamia CHADEMA wanahongwa nini? Spare us with your baseless claims.

    ReplyDelete
  2. Kama viongozi wenyewe wa Chadema ndio hawa akina Lema basi wanachama wengi wanaojitambua wataendelea kuhama kutoka Chadema. Hivyo hapo lema anazungumzia RUSHWA yaani mwenyekiti Maghufili anapesa ya kuchezea kiasi hicho cha kuhonga hovyo? Maghufili anakwambia hata wakibakia wana CCM watatu waliokuwa hawataki kutoa au kupokea hongo kwake ni sawa alafu awe na pesa ya hovyo ya kuwahonga wapinzani ili waje CCM? Sikio la kufa halina kusikia dawa. Baadala ya Chadema na viongozi wake kukaa kuikabili na kutafakari hali halisi ianyoiangamiza chama chao kuelekea kuzimu wanaendekeza propaganda za kipumbavu ooh wananunuliwa ndio maana wanahama chama. Kwa kweli inabidi watanzania tukae chini tujiulize. Lini itatokea siku Chadema watakiri mapungufu yao? Inaonekana wamejipachika umalaika? Walianza na uchaguzi mkuu aaah hatukubali matokeo ya huu uchaguzi tumeibiwa.Tena hatuitambui serikali? Chadema kama chama mlishindwa kujitambuwa nyinyi wenyewe kwa kumueunguwa Dk Slaa mtu aliekipigania chama kwa nguvu zake zote kweli mtakuja kumtambua Maghufili? Na kuondoka kwa Dk Slaa wakaanza ooh hana lolote yule akili zake zinaendeshwa na mwanamke. Nakadhalika nakadhalika mkashindwa kueleza ukweli kwanini Dk Slaa kaondoka Chadema? Zambi ya kusema uongo ni kama kula nyama ya mtu utaendelea tu kusema uongo. Kaondoka Zito Kabwe nae ooh muache aondoke ni mroho wa madaraka ni bwana mdogo tu hajui anachokitafuta nakadhalika nakadhalika. Wakaja madiwani baada ya kuchoshwa na mizengwe iliyojaa ndani ya chama iliyojikita katika kulisaliti taifa na watanzania kwa ujumla. Madiwani nao wakaamua kuchukua uamuzi wa kuhama chama kama kawaida tena wasiojitambua wakaanza aaaah wamehongwa hao wamenunuliwa mpaka wakatengezewa video feki za RUSHWA. Kama vile haitoshi uchaguzi wa madiwani ulipokuja Chadema wakapigwa vizuri tu na CCM pengine Chadema wangezifanyia kazi hoja za misingi za wale madiwani waliohama wasingepoteza ule uchaguzi wa madiwani kiasi kile . Na tulitegemea kupoteza kwa uchaguzi wa madiwani Chadema kama chama kinachojitambua ingekuwa wake up call ya kujitafakari lakini badala yake wakaanza tena aaaah tumeibiwa kura,hatukutendewa haki. Wale CCM hatuwezi sisi ni dhuluma kubwa? Okay unafungwa goli kumi mtungi alafu bado unajigamba kuwa uwezo unao ila muamuzi tu? Angalau unafungwa kumi kwa saba au nane unaweza kutoa malalamiko. Kumi mtungi inabidi you have to shutup and look upon your weakness instead of spreading false excuse. Lakini Chadema wakaendelea na sababu za kijinga na badala yake wabunge na baadhi ya viongozi muhimu wa Chama na jumia zake nao wanakikimbia Chama?... tena kama kawaida viongozi wa Chadema wasiojitambua wanaendelea na shutuma za uongo na kutunga aaah wananunuliwa na kuahidiwa madaraka na marupu rupu mengine tele nakadhalika nakadhalika. If Chadema and its leadership wise enough should have extra cautious with Godbless Lema. He might be the one working for another party to destroy Chadema, he talks lot nonsense . Magufuli kama mwenyekiti wa CCM hatanii anaposema hata Janet Magufuli akishikwa na rushwa mfungeni. Nyie akina Lema mnaropokwa kama mnatumia madawa ya kulevya hamjui mnachokiongea. Lini kama chama kama Chadema mtakubali kukosea na kukiri makosa? Nyie sio malaika mjuwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tawire baba, wali'bip' kwa Nyalandu, CCM imewapigia, sasa wanaogopa kupokea, tutawapigia mpaka waombe poooo.........hahahaha PiiiPoozz PWAAAA

      Delete
  3. Huyu ni lazima apimwe haja ndogo.....!!!!
    Godilesi si mzima... anatutilisha Shaka na Afya yake sijui anatumia madudu gani.

    ReplyDelete
  4. Wewe ndo sio mzima. Ni mzuka yu. Bwege usiye na akili hata. Mmejaa majinga mebgi tu.Sijui mmmekosa nini. Mbona mmeoza namna hii.Akili hamna nyinyi wanaccm msiosoma kabisa. Ni mzigo mzito kwa Taila letu. Ni nyinyi wapiga makofi watu wa mitaani mashabiki, na waswahili msio na maendeleo wala mchango wowote katika taifa hili. Mko watupu, bila nguo.Empty peoples.

    ReplyDelete

Top Post Ad