Hiki Ndicho Walichojadili Zitto Kabwe na Freeman Mbowe Baada ya Kukutana Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hiki Ndicho Walichojadili Zitto Kabwe na Freeman Mbowe Baada ya Kukutana Leo
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa ajili ya kujadili masuala ya uchaguzi wa haki nchini baada ya vyama hivyo kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio.

Leo December 21, 2107 Zitto amekutana na Mbowe ikiwa ni siku chache baada ya kutoa taarifa kwamba watavizungukia vyama vyote vya siasa ili kujadilia masuala ya uchaguzi.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa chama hicho, Abdallah Hamis kikao cha chama hicho kilichoketi hivi karibuni na kuamua kugomea kushiriki uchaguzi wa marudio katika Kata na Majimbo mbalimbali nchini unaotarajiwa kufanyika mapema mwakani.

“Kamati Kuu ya ACT iliuagiza Uongozi wa Taifa wa Chama kuwafikia wadau wote wa Demokrasia nchini na kuweka mikakati ya pamoja ya hatua za ziada za kuchukua ili kuboresha mazingira ya chaguzi za haki nchini kwetu, kwa kuanzisha mazungumzo na vyama vyote vya Upinzani.

“Lengo ni kuona njia bora zaidi ya mapambano ya pamoja ya kukabiliana na vitendo vya chama tawala za kuvuruga chaguzi huru na za haki nchini,” – Abdallah

Zitto ameanza mazungumzo hayo na Mbowe, wakati Katibu Mkuu wa chama hicho, Dorothy Semu, akiwa anaendelea na utaratibu rasmi wa kulitekeleza suala hilo.

“Nilipewa wajibu wa kuanzisha mazungumzo ya Viongozi wa Juu wa vyama, jana nimezungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi, ndugu James Mbatia aliyeko hospitalini KCMC baada ya hapo nimekutana na Mbowe na kujadili kuhusu mazingira ya chaguzi za haki nchini,”– Zitto

Aidha Zitto amesema mazungumzo na viongozi hao yameenda vizu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAACHENI-WAFU-WAKOKOTANE.......

    ReplyDelete
  2. Waaats up..Bana anaonesha hana laha.. Zitto katoa ofa kwa wenyekiti wake wa awali aliyemsaliti. Tulifanyie kazi.

    Zitto Zuberi Kabwe mwana siasa mashuhuli aflika mashariki na kati mpaka kusini na kaskazini kote.
    kutoka katika kitongoji cha kule kwa Babu yake Dkt livingistone.

    Umetisha Zitto Zuberi Kabwe Huko Mirembe katika anga zako. Wanakukubali wenzako wote.
    Na sasa Ameamua kuongeza Wigo lake kabla ya kurudi katika taasisi teule hapo baadaye.

    Dogo amepoteza na kijipoteza Mwelekeo totally na Unaongeza wenzako kina flee mani.

    Nimefatilia kitabu cha mapokezi KCMC mbona sijaona kina lako? au inahitaji miwani?

    ReplyDelete
  3. Heee..Heeeee... Jamani Maajabu ya Dunia.

    Chui na Paka wamekutana....Hapo kuna walakini au ni fotoshopu?
    Sasa nani aliomfata mwenzake.... Ni hotelini au Kanisani?

    Hawa si walifukuzana naKutaka kuuwana?

    Haya ndewe na masikio yatatujuza KINACHO JIRI KWA SILI. KAMA KWELI. AU NI FOTOSHOPU ITAJULIKANA.

    ReplyDelete
  4. mie nasikia alikwenda kuripoti mara ya mwisho ilikuwa kituo cha polizi C'ngombe na ilibidi pia aripoti katika kitua cha .... kule nni. Je alisha Ripoti?

    ReplyDelete

Top Post Ad