Kwa Mara Nyingine Tena..Mama Ashura Amrushia Dongo Ali Kiba..."Yeye ni Nani Asiambiwe?"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usiku wa Desemba 15, 2017, katika ukumbi wa MLIMANI CITY, Jijini Dar es Salaam, kulifanyika uzinduzi wa filamu kubwa ya ‘FROM NIGERIA’, kutoka katika Kampuni ya JUMO ENTERTAINMENT, uzinduzi huo ulihudhuriwa na wasanii wengi kutoka katika tasnia mbalimbali, wakiwemo wachekeshaji wanaounda kundi la TIMAMU, Ebitoke, Mama Ashura na Bwana Mjeshi.

Katika mahojiano yake na Global TV, Mama Ashura ambaye kwa mara kadhaa amekuwa akimkosoa staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba ‘King Kiba’, kutokana na kazi yake ya muziki, amesema kuwa hata kama akizindua wimbo wake, bado atahudhuria na atamkosoa vilevile, huku akidai kuwa hamjui mchekeshaji, Mkali Wenu ambaye waliwahi wakifanya kazi kwa pamoja. VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mama ashura ni mfa maji unatafuta kiki mshamba wewe rembukeni jitambue kwanza then talk abt people

    ReplyDelete

Top Post Ad