Mama Mzazi wa Diamond Aonyesha Pete yake Ndoa "Nimeolewa na Diamond Asubiri Mdogo Wake"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Mzazi wa Diamond Aonyesha Pete ya Ndoa "Nimeolewa na Diamond Asubiri Mdogo Wake"
Mama yake na Diamond Platnumz, Bi Sanura, amethibitisha kuwa ameolewa. Kwenye mahojiano na Dizzim Online ambayo alionesha pete yake ya ndoa, Mama Dangote ameyapuuza maneno ya watu kuwa ameolewa na kijana mdogo.

“Ana udogo gani? Hana udogo yule, angekuwa mdogo asingeoa, mkubwa,” alisema. Alipoulizwa kama ana mpango wa kupata mtoto mwingine, mama huyo alisema, “Naseeb atapata mdogo wake siku yoyote, nyie hamtaki mdogo? Basi subirieni mdogo wenu wa mwisho.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe mama wee, Unamtia aibu mwanao, wacha kujihendua

    ReplyDelete
  2. hajaacha umalaya. toka enzi anauza ticket za sinema cameo na odion. alikuwa anafanywa kwenye viti vya cinema yeye na Mama rommy Shani.

    ReplyDelete
  3. kwa kweli sina lakusema huu ni wakati wa kuomba toba kwa maovu yote ulio ya fanya kaa ulee wajukuu dio mama mzee kutafuta vijana hee au ndio unafata nyayo za bi tukinao yaani ukistajabu ya musa utaona ya firauny aibu kwa watt wako

    ReplyDelete
  4. Inawezekana tangu ujana wake hajawahi kuolewa, kama amepata mume, yaani ameolewa kweli sio hawara, hongera zake, na amewapa somo na kuwatia moyo wale wote ambao umri umeenda na hawajaolewa, wasikate tamaa, one-day-yes.

    ReplyDelete
  5. ndiyo maana mama yake Rommy akapata halfcast enzi hizo odion ilikuwa si mchezo na huyo yake diamond apumzike sasa ulaya aliyoufanya pale bilcanas hajachoka tu

    ReplyDelete
  6. jamani kuolewa hanyimwi mtu, kama kapata mwenzake mwache aolewe wawili ni wawili. tena saiv ndio kwake kumekucha alichoka juani enzi hizo sasa mtoto kamweka sop sop kapendeza kwa nini asiolewe?

    olewa mama nawe upate wa kuongea nawe na wa kutoka nae na kupanga mambo yenu. ndio kwanza wakati wake umefika. He!

    ReplyDelete

Top Post Ad