google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mama wa Diamond Atoa ya Moyoni Kuhusu Diamond na Zari | UDAKU SPECIAL

Mama wa Diamond Atoa ya Moyoni Kuhusu Diamond na Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama wa Diamond Atoa ya Moyoni Kuhusu Diamond na Zari
December 13, 2017 kupitia ukurasa wa instagram wa mama yake na muimbaji wa Bongofleva Diamond “Sandrah” ameamua kuandika ya moyoni kuhusiana na kile ambacho huwa anapost kwenye page yake ya instagramna watu kuanza kutoa comment tofauti tofauti huku wengine wakikosoa.

Mama Diamond mara nyingi katika ukurasa wake wa instagra hupost kazi za mwanae za  kisanaa na wakati mwingine anampost mtoto wake Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari the Boss Lady, hivyo huwa haishangazi kuona akiwapost wawili hao ila caption ya leo kwenye picha aliyowapost Diamond na Zari imechukua headlines.

Ujumbe wa mama Diamond katika post yake ya instagram haujaweka wazi ni nini kimemfanya aandike maneno kama hayo katika picha aliyowapost Diamond na Zari lakini baadhi ya watu wanautafsiri ujumbe huo kama onyo kwa mtu, au shabiki anayecomment vitu visivyompendeza baada ya kupost Diamond na zari

a kuwapost Diamond na Zari.

Kupitia picha hiyo aliyoipost leo December 13,2017 katika ukurasa wake instagram ameandika caption inayosomeka

“Mapenzi niliyonayo kwa wanangu hawa hayana mfano…Ninapompost mkwe wangu @zarithebosslady au mwanangu @diamondplatnumz sifanyi kwa ajili ya kuwaridhisha WASIOTUPENDA….Nawapost kwa mapenzi makubwa kwao na wajukuu zangu @princess_tiffah @princenillan Imani yangu si kumkwaza mtu au kumkebehi mtu bali Nawapendaaa sana…Akaunti hii ni MALI yangu hivyo asitokee MTU kunipangia cha kupost au kujifanya Mama/Baba ushauri… Maisha ni kuchagua na si kuchaguliwa #StrongFamily#TusipangianeChaKupost#NajitambuaKulikoMjuavyo#ABoyFromTanda“
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond fanya ufanyanvyo lakini huyo mama avae kiheshima ni mama mtu mzima hafai kuuiga vijana.mabega yako wazi ,hiyo sio sifa kwako wala kwake.musiache mila zenu .muacha mila ni......

    ReplyDelete
  2. sio muacha mila hata kidini hairuhusiwi na kwani huyo mwanae amemuoa huyu zari? hakuna mwenye wivu wala hakuna anae kuwapangia maisha Mungu azidi kuwabariki ila mama daimond usisahau ulipo toka na usibague wajukuu kwanza zari alijuwa mbaya mukamtumia hamisa yalivotokea ya kutokea hamisa kawa mbaya bi tukinao kawa mtu alie juu mngojee chini wewe ni mtu mzima

    ReplyDelete

Top Post Ad