google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Raila Odinga Aufyata Mkia Baada ya Kuambiwa Akijiapisha Kuwa Rais Atashtakiwa kwa Uhaini | UDAKU SPECIAL

Raila Odinga Aufyata Mkia Baada ya Kuambiwa Akijiapisha Kuwa Rais Atashtakiwa kwa Uhaini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Upinzani nchini Kenya umetangaza kughairisha shughuli ya kumuapisha Kiongozi wao Raila Odinga kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya tarehe 12 Desemba
-
Tarehe mpya ya kuapishwa Odinga pamoja na uzinduzi wa Bunge la Wananchi itatangazwa baadae
-
Hivi karibuni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini Kenya alitahadharisha uamuzi wa NASA kutaka kumuapisha Bw. Odinga kinyume na utaratibu na kusema endapo watafanya hivyo, watashitakiwa kwa kosa la uhaini. - #regrann
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad